Mix

Unamchukuliaje mteja anaekuja dukani kwako na Milioni 200 alafu zote ni sarafu???

on

29519E4400000578-3109116-660_000_Yuan_in_1_Yuan_coins_and_20_000_Yuan_in_notes_all_stacke-m-8_1433331701070

Story nyingine ni kama utani hivi ukivuta picha.. eti mteja kaja na Milioni 200 zote ni sarafu na anataka huduma yako kabisa !!

Story iko kwenye headlines toka Shenyang, China… mteja kaingia showroom ambako wanauza magari na cash yake mkononi, amejikusanyia dola 106,000 ambazo ni sawa na Mil. 232, ishu ni kwamba hela zote ni sarafu, bora hata ingekuwa noti yani.

29519FB800000578-3109116-image-m-9_1433334944912

china-car-dealership-pay-coins-a

Jukumu lingine limewakuta wafanyakazi wa showroom hiyo ambao walilazimika kuanza kushusha hela hizo kutoka kwenye gari lililokuwa limebeba mzigo huo ambao ulizidi uzito wa tani nne. china-car-dealership-pay-coins-b

Mr. Gan ndio mteja mwenyewe aliyekuja na mzigo huo, amesema yeye anauza mafuta kwenye sheli.. kwa hiyo chenji hizo amezikusanya hapohapo akaona ajinunulie gari ya kutembelea !!

Yani jamaa alichokiona amerahisisha ni kufunga hela hizo kwenye vibunda vidogovidogo.

Huyu mteja akija kwako unamsaidiaje mtu wangu?

Tupia Comments