Habari za Mastaa

Davido na AKA wameshirikishwa kwenye hii Collabo nyingine ya Dj Maphorisa…’Belinda’ (Remix)

on

COV

Dj kutoka Afrika Kusini  Maphorisa ameachia remix ya ngoma yake ‘Belinda’ ambapo ndani wamesikika mastaa kutoka Nigeria Davido pamoja na Rapper AKA.

Isikilize hapa mtu wangu…

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments