AyoTV

COMORO: Uko tayari kukaa katika nyumba ya WIFE? maisha yao je? (Video)

on

Inawezekana kabisa upo Tanzania au popote pale duniani lakini umekua tu ukisikia kuna sehemu inaitwa Comoro lakini hujawahi kufika wala kujua pakoje na tamaduni zao, camera ya AyoTV ipo na wewe time hii kutoka Moroni kukuelezea na kukuonyesha upande huo ukoje.

FULL HD: All goals N’gaya vs Yanga February 12 2017, Full Time 1-5

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments