Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Congo yakanusha kuwepo kwa jaribio la mapinduzi ya kijeshi
Share
Notification Show More
Latest News
Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya
September 27, 2023
Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa
September 27, 2023
Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kukomeshwa kwa silaha za nyuklia
September 27, 2023
Korea Kaskazini kumfukuza mwanajeshi wa Marekani Travis King aliyevuka kutoka Korea Kusini
September 27, 2023
CP Kaganda arejea nchini ataja mikakati madhubuti kuboresha utendaji kazi kwa askari wakike
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Congo yakanusha kuwepo kwa jaribio la mapinduzi ya kijeshi
Top Stories

Congo yakanusha kuwepo kwa jaribio la mapinduzi ya kijeshi

September 18, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Serikali nchini Congo-Brazzaville imetupilia mbali ripoti za kuwepo kwa jaribio la mapinduzi ya kijeshi dhidi ya utawala wa rais Denis Nguesso, ambaye amekuwa akitawala kwa kipindi cha miaka 39.

Matamshi ya serikali yanakuja baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii mwishoni mwa wiki iliyopita kwamba jeshi lilikuwa linajaribu kuangusha utawala wa kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 79 anayehudhuria mkutano wa awamu ya 78 wa umoja wa mataifa jijini New York.

Kupitia ujumbe kwenye ukurasa wa X zamani ukijuliakana kama twitter, waziri wa mawasiliano kwenye taifa hilo Thierry Moungalla amesema taarifa hizo ni za uongo.

Waziri huyo amewahakikisha raia wa Congo kuwa nchi yao iko salama na hakuna hofu yoyote ya kutoendelea na shughuli zao za kila siku.

Wito kama huo pia ulichapishwa kwenye wavuti wa serikali, ukitaja ripoti hizo za mapinduzi kama zisizokuwa za kweli.

Rais Nguesso aliingia madarakani katika taifa hilo lenye utajiri wa mafuta kupitia mapinduzi ya kijeshi mwaka wa 1979.

Kiongozi huyo wa Congo, ndiye rais wa tatu ambaye amekuwa madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Afrika baada ya mwenzake wa Equatorial Guinea Teodoro Obiang na yule wa  Cameroon Paul Biya.

You Might Also Like

Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya

Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa

Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kukomeshwa kwa silaha za nyuklia

Korea Kaskazini kumfukuza mwanajeshi wa Marekani Travis King aliyevuka kutoka Korea Kusini

CP Kaganda arejea nchini ataja mikakati madhubuti kuboresha utendaji kazi kwa askari wakike

Geena TZA September 18, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Luis Rubiales kuuza nyumba yake ya pauni milioni 1.2 mjini Madrid kutokana na kashfa ya kumbusu mchezaji
Next Article Australia yataka programu za uchumba kuboresha viwango vya usalama ili kulinda watumiaji
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya
Top Stories September 27, 2023
Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa
Top Stories September 27, 2023
Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kukomeshwa kwa silaha za nyuklia
Top Stories September 27, 2023
Korea Kaskazini kumfukuza mwanajeshi wa Marekani Travis King aliyevuka kutoka Korea Kusini
Top Stories September 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya

September 27, 2023
Top Stories

Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa

September 27, 2023
Top Stories

Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kukomeshwa kwa silaha za nyuklia

September 27, 2023
Top Stories

CP Kaganda arejea nchini ataja mikakati madhubuti kuboresha utendaji kazi kwa askari wakike

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?