Mix

Kwa gharama kidogo kabisa unaweza kujipatia nyumba yako poa kabisa iliyojengwa kwa kontena.. (Pichaz)

on

c91b29d0-3bb8-11e5-b049-5ff249b1a731_2

Ukizungumzia ujenzi wa nyumba za kuishi watu wengi wanaanza na kufikiria kuhusu mafundi, cement, mchanga na vifaa vingine… lakini upo ujenzi mwingine ambao mpaka unakamilika kabisa unaweza usihitaji chochote kati ya hivyo, labda akatakiwa fundi mmoja tu, naye ni wa kuchomelea !!

cc5d0e60-3bb8-11e5-ac1f-bdcb281ff790_11 (1)

Joseph Dupuis ni raia wa Canada ameunda nyumba yake  ya kawaida kabisa kwa Kontena za magari, kaokoa  pesa nyingi sana kufanya makontena yake yawe nyumba ya kuishi badala ya kujenga nyumba ya kawaida ya kuishi… jamaa anasema kitu cha  bei sana hapo ilikuwa hayo makontena pekeyake ambayo yaligharimu kama Dola 12,600 (Sawa na kama Tshs. Mil. 26)

c9621de0-3bb8-11e5-ac1f-bdcb281ff790_3

Huu ndio muonekano wa mjongo wa huyo jamaa kwa nje.

ca4ddd70-3bb8-11e5-b049-5ff249b1a731_9

Ndani ya mjengo, pako simple kabisa yani !!

ca817090-3bb8-11e5-ac1f-bdcb281ff790_8

caec8e70-3bb8-11e5-ac1f-bdcb281ff790_12

caf58f20-3bb8-11e5-b049-5ff249b1a731_10

Joseph Dupuis nje ya Mjengo wake.

cb8c50e0-3bb8-11e5-b10c-b71f5e9bce23_1

cb47cdd0-3bb8-11e5-ac1f-bdcb281ff790_13

 

Battery II

Joseph Dupuis kapoa nje ya mjengo wake, kafunga solar yake poa kabisa.

Battery

Hapa ni ndani ya chumba ambapo kuna battery za solar.

82692c90-3d10-11e5-b3a8-0b4a1d4e8152_4

 

Ukiangalia kwa Dar, Tshs Milioni 26 ni pesa ambayo sio rahisi kupata nyumba ya kiwango kizuri.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments