Top Stories

CORONA: Balozi wa Trump TZ abanwa “Mnasema wagonjwa wa Corona wamejaa” (+video)

on

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imemuita Kaimu Balozi wa Marekani nchini, Dk Imni Patterson atoe ufafanuzi kuhusu mambo ambayo amekuwa akiandika kwenye mitandao yake ya kijamii bila uthibitisho.

“CORONA KURUDI UPYA TENA”, HATARI YA VIFO, DAWA YAZUIWA,TRUMP ACHARUKA

Soma na hizi

Tupia Comments