Top Stories

CORONA: “Dunia itakumbana na upungufu wa condom”

on

Condom inatarajiwa kuwa adimu Duniani kutokana na mlipuko wa Virusi vya Corona kusababisha viwanda kufungwa huku Umoja wa Mataifa UN ukionyesha hali hiyo inaweza ikaonyesha matokeo mabaya zaidi.

Kwa mujibu wa AFP Mtendaji mkuu wa Karex Goh MIah KIat amesema wazalishaji wengi duniani wakikabiliwa na uwezekano wa kuvurugwa kwa shughuli zao na ugumu wa kusafirisha  condom  hadi sokoni kutokana na ugumu wa usafiri na usambazaji wa zana hizo na kinga utakumbwa na vikwazo.

”Ni dhahiri dunia itakumbana na upungufu wa condom, nichangamoto lakini tunajaribu kila tuwezalo, ni zahili inatia wasiwasi condomu ni zana muhimu katika tiba”  Goh MIah KIat

Mazuio yaliyowekwa dhidi ya kiwanda cha kikubwacha uzalishaji wakinga cha Karex ambacho huzalisha condom moja kati ya tano zinazopatikana duniani kote amabpo kiwanda hicho katatoa codom millioni 200 pungufu ya uzalishaji wa kawaida kuanzia mwezi machi hadi April.

Kutokana na baadhi ya viwanda kufungwa idadi kubwa ya watu duniani imejifungia majumbani wakati huu wa ugonjwa wa corona ambao unaambukiza kwa kasi ukizidi kuizunguka dunia huku serikali zikiagiza kufanga kwa biashara zinazoonekana kutokuwa na umuhimu.

Malaysia moja kati ya nchi inayozalisha mpira kwa wingi duniani iliyopo Asia kusinimashariki na mzalishaji wa Condom ilitangaza marufuku ya kutotoka nje  kwa  nchi nzima wakati maambukizi yakifikia kiwango cha juu katika taifa hilo.

BWANA HARUSI NA BIBI HARUSI WAKAMATWA WAKIFUNGA NDOA “WATAFURAHIA HONEYMOON KWA DHAMANA”

Soma na hizi

Tupia Comments