Top Stories

“Corona ilikuwa ni fursa, nimefukiza watu nyumbani kwangu” Lois

on

Lois Ndaki ni Tabibu wa dawa za asili yeye ameamua kutoa huduma ya kuwafukiza watu nyumbani kwake kabla ya kukupatia dawa aliyoitengeneza, pamoja nakuwa ugonjwa wa COVID 19 umepungua kwa kiasi kikubwa nchini kwa mujibu wa Wizara ya afya ila bado jamii inashauriwa kuchukua tahadhari.

“Niliugua Corona wakati nipo Uganda nikatumia dawa yangu nilipo kuja nyumbani nikaanza kuwafukiza watu na wakapona” Lois

Soma na hizi

Tupia Comments