Top Stories

“Corona imeisha tutafungua Shule za Msingi na chekechea hivi karibu” JPM (+video)

on

Rais Magufuli leo Dodoma akihutubia Chama cha Walimu “Umekuja ugonjwa wa corona wakawa wanasema kwamba maiti zitazagaa barabarani hasa Afrika, wakageuka watabiri, walishindwa kuelewa kuwa Mungu wetu ana nguvu, tuliomba siku tatu, corona imekwisha, Waziri wa Afya juzi anasema DSM palikuwa na wagonjwa wanne, ila uzushi utatolewa wa kila aina”.

“Corona imekwisha ndio maana hata Mabarakoa hakuna hata leo tunaonana tu hapa kawaida, ndio maana nilikuwa namshangaa Spika Ndugai akiwa Bungeni yupo kiti chake peke yake lakini amelivaa hilo libarakoa mdomoni, Watanzania tumtangulize Mungu”-JPM

LIVE: VYUMA VYA RAIS MAGUFULI KWA SPIKA NDUGAI NA MWELE MALECELA

Soma na hizi

Tupia Comments