Michezo

Corona imevitikisa vikosi vya Ajax na Dinamo Kiev

on

Club ya Dinamo Kiev sasa itacheza mchezo wake wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya FC Barcelona ikiwakosa watu wake muhimu 13 wa kikosi cha kwanza.

Hii ni baada ya wachezaji wake baadhi (6) kubainika kuwa na Corona , majeruhi (1) na wanaoukosa mchezo huo wengine wana adhabu za kadi nyingi za njano kiasi cha kufikia idadi ya watu 13.

Hata hivyo Corona pia imeiathiri club ya Ajax ambayo nayo imesafiri kuelekea Denmark ikiwa na wachezaji 17 baada ya wachezaji wao 11 kubainika kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona.

Soma na hizi

Tupia Comments