Top Stories

Corona nchini Marekani idadi ya vifo vyazidi Elfu 45

on

Marekani imeendelea kuongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya vifo vinavyotokana na corona Duniani ambapo hadi mchana huu wamefariki Watu 45,447, USA inaongoza pia kwa visa, vimefikia 827,358 na wamepona 82,973, Italia vifo 24,648 na visa 183,957, Hispania vifo 21,717 na visa 208,389.

RAIS MAGUFULI AKIWA CHATO APANGUA WIZARA YA AFYA, AMUONDOA KATIBU MKUU

 

Soma na hizi

Tupia Comments