Top Stories

Corona nchini Marekani idadi ya vifo vyazidi Elfu 55

on

Vifo vinavyotokana na corona vimeendelea kuongezeka Marekani ambapo hadi leo mchana huu wamefariki Watu 55,415,USA inaongoza kwa vifo vingi Duniani pia kwa visa ambapo leo vimefikia 987,322 na wamepona 118,781, Italia vifo 26,644 na visa 197,675,Hispania vifo 23,190 na visa 226,629.

MWANA FA KAFUNGUKA ALIVYOUMWA CORONA “RAIS MAGUFULI ALINIPIGIA SIMU, MWANANGU POLE UTAPONA”

Soma na hizi

Tupia Comments