Habari za Mastaa

CORONA: “Nilikuja kujificha Dar nisipate Corona”

on

Mchekeshaji Chipukizi kutokea Kenya amezungumza na AyoTV Entertainment ambapo amezungumza kuhusu kazi yake ya Uchekeshaji ikiwemo baadhi ya show kubwa alizowahi kuziandaa na kufanya Pamoja na hilo Pia aligusia ishu ya ugonjwa wa Corona.

Chipikizi amedai kuwa wakati Ugonjwa wa Corona imeingia Kenya aliamua kuja kujificha Dar es Salaam Tanzania Kwa kuwa aliwahi kusikia kuwa Corona haipendi joto lakini wakati yupo Tanzania akasikia Ugonjwa huu umeingia pia.

Bonyeza PLAY hapa kumsikiliza Chipukizi akizungumza.

DIRECTOR HASCANA KATOA SHAVU KWA WASANII KUSHOOT VIDEO BURE KUHUSU CORONA

Soma na hizi

Tupia Comments