Top Stories

CORONA: RC Mwanri apiga marufuku gari kuondoka bila kunyunyiziwa dawa” (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amepiga marufuku magari ya abiria kutoka kwenye vituo bila kunyunyizia dawa za kuua vijidudu vya maambukizi hasa kipindi hiki cha tahadhari ya Virusi vya Corona.

Akiwa Wilayani Sikonge RC Mwanri amesema “Hakuna gari itaingia wala kutoka bila kunyunyuziwa dawa na wananchi mpaze sauti tutawarudisha mpaka kituo kinachohusika safari itavunjikia huko huko na haitaendelea na safari”.

TAMKO LA WIZARA YA MIFUGO JUU YA CORONA NA MINADA “SHUKURUNI HATUJAFUNGA SHUGHULI”

Soma na hizi

Tupia Comments