Top Stories

CORONA: Tamko jipya la Magufuli “Corona haizuii Uchaguzi, hatujazuia kukutana” (+video)

on

Uchaguzi tutafanya tu, wapo wengine wanadhani nitaahirisha nani anayetaka akae kwenye maofisi haya miaka yote hiy amesema Rais John Magufuli leo akipokea ripoti ya CAG na ya TAKUKURU.

“Hatujazuiliwa kukutana kisa corona, tunaendelea kukutana hata Nchi zilizoathirika na corona imeua Watu bado Mabunge yao yanaendelea,kazi lazima iendelee kufanyika na Uchaguzi tutafanya tu,wengine wanafikiri nitaahirisha, nani anataka akae kwenye Maofisi haya muda wote huo!?”-JPM

RAIS MAGUFULI AMVAA WAZIRI MKUU, CORONA “SIAHIRISHI UCHAGUZI NITAFANYA”

Soma na hizi

Tupia Comments