Top Stories

CORONA:Rais Trump kusaini amri ya kusitisha wahamiaji kuingia Marekani

on

Tukiwa bado kwenye janga la zito la Covid-19, sasa Rais wa Marekani Donald Trump amezungumza na kusema wakati wowote ataisaini amri ya kuzuia shughuli za uhamiaji na kusitisha wahamiaji kuingia Marekani.

Katika muendelezo wa mapambano dhidi ya adui ambaye haonekani (corona) na ili kuhakikisha tunalinda ajira za Wamarekani, nitasaini amri ya kuzuia kwa muda shughuli zote za uhamiaji Marekani ikiwemo kusitisha wahamiaji kuingia Marekani”- Donald Trump

BREAKING: CORONA YAUA 10 TANZANIA, WAGONJWA WAFIKIA 254

Soma na hizi

Tupia Comments