Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: CORONA UGANDA: Museveni asema hakuna tena maambukizi ya ndani “visa vipya vinaletwa na Madereva wa Malori”
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > CORONA UGANDA: Museveni asema hakuna tena maambukizi ya ndani “visa vipya vinaletwa na Madereva wa Malori”
Top Stories

CORONA UGANDA: Museveni asema hakuna tena maambukizi ya ndani “visa vipya vinaletwa na Madereva wa Malori”

April 29, 2020
Share
1 Min Read
SHARE

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema hakuna maambukizi mapya ya ndani kwa siku nyingi Uganda na kusema huenda hiyo ina ashiria hakuna maambukizi tena ya corona au Watu wana virusi ila hawaugui , Museveni amesema  kwa mujibu wa Wataalamu wake kama Watu wana virusi na hawaugui ni jambo zuri kwakuwa wanapata kinga mwili na hata virusi vikiondoka vikarudi tena watapambana navyo.

“Bado tuna visa 79, wagonjwa wanapona kwa kasi hadi sasa wamepona 52 na hatuna kifo, visa vya ndani tumedhibiti kabisa, tuko vizuri, shida pekee kwa sasa ni visa vya nje vinavyoletwa na Madereva wa Malori, naambiwa Waganda wana hasira nao kweli, tusiwachukie jirani zetu”-MUSEVENI

KIM JONG UN AMEJIFICHA KUKWEPA CORONA, TRUMP ASEMA ANAJUA KILA KITU “NIMEZUIA VITA YA USA NA KOREA”

You Might Also Like

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

Bakari Chijumba TZA April 29, 2020
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article LIVE MAGAZETI: Membe atoa neno zito kwa Serikali, vifo vya Vigogo vyatikisa
Next Article Mtanzania aliyeacha kazi na kujiajiri, anatengeneza Mamilioni “nimewekeza kwenye corona” (+video)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?