Wizara ya Afya Uganda imesema Watanzania wengine wanne (Madereva wa Malori) wamebainika kuwa na virusi vya corona nchini humo na kufanya visa vya corona Uganda kufikia 79, Madereva hao walioingia Uganda kupitia mpaka wa Mutukula ni kati ya ya Watu 1989 waliopimwa jana Uganda.
•
“Tumewapima Watu 1989 ambapo Madereva wa Malori ni 1578 na kati yao Watanzania wanne wamebainika kuwa na corona, wengine 411 tuliowapima sio Madereva na wote ni wazima”-WIZARA YA AFYA UGANDA
CORONA UGANDA: Visa vyafikia 79 “kuna wagonjwa wapya wanne Watanzania”
Leave a comment
Leave a comment