Top Stories

Corona Zambia yafunga mpaka na TZ “magari 1000 yazuiwa” (+video)

on

Serikali Mkoani Songwe imewatoa hofu wananchi juu ya kufungwa mpaka wa Nakonde nchini Zambia huku akiwataka waendelee kuchapa kazi wakati wakisubiri siku ya kufunguliwa kwa mpaka huo.

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Generali Nickodemas Mwangela, amewatoa hofu wananchi kuhusu kufungwa kwa mpaka wa Nakonde akisema kuwa waendelee kufanya kazi kwenye eneo lao la Tanzania huku akiwataka wazingatie ushauri wa kitaalam.

LIGI KUU KUREJEA, “MASHABIKI HAWAIINGII UWANJANI”, WAMILIKI VIBANDA UMIZA WAJIPANGA

Soma na hizi

Tupia Comments