Top Stories

CORONA:Malori zaidi ya 300 yamekwama mpakani mwa Kenya na Tanzania (+Video)

on

Tukiwa bado kwenye Janga la ugonjwa wa Corona sasa Malori zaidi ya 300 yamekwama katika mpaka wa Namanga unaoziunganisha nchi za Kenya na Tanzania.

Kundi la Madereva wa magari makubwa ya kubeba mizigo imetajwa kusambaza virusi vya Corona kwa kiwango cha juu , baadhi ya nchi za Afrika zimetangaza kuwapima Madereva wanatoka nchi nyingine ili kuwabaini kama wana maambukizi hayo ya Corona.

CHANZO:Kutoka Idhaa ya Kiswahili

Soma na hizi

Tupia Comments