Top Stories

CORONA:Rais Magufuli ‘Tutumie siku tatu April 17-19 kwaajili ya kusali’

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo April 16, 2020 ametumia mitandao yake ya kijamii kuwataka Watanzania kutumia siku 3 kwaajili ya kusali kuepuka Janga la Ugonjwa wa Corona Virus.

Rais Magufuli aliandika…“Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na Jumapili} kumuomba Mwenyezi Mungu aliye muweza wa yote atuepushe na janga la ugonjwa huu, tusali kila mmoja kwa imani yake, atatusikia”-JPM

BREAKING: CORONA RAIS MAGUFULI “TUMIENI SIKU TATU MUOMBENI MUNGU JANGA LIONDOKE”

 

BILA KUOGOPA: WATUMIA JINA LA JANET MAGUFULI KUJIPATIA MIL.15 “WAMETAKISHA, HAINA DHAMANA”

Soma na hizi

Tupia Comments