Jeshi la Polisi Kenya limepiga marufuku Mtu kuonekana hadharani kwenye maeneo yenye Watu wengi kama sokoni, ktk daladala n.k, akiwa hajavaa barakoa (mask) na atakayekaidi agizo hilo atakamatwa, IGP Hillary Mutyambai wa Kenya amesema atakayekutwa bila mask atafikishwa Mahakamani kwakuwa ameshindwa kushiriki vita dhidi ya corona.
DIVA KAFICHUA ALIVYOTOKA KIMAPENZI NA ALIKIBA KWA SIRI, KAWEKA HADHARANI MASSAGE ZAO