Habari za Mastaa

CORONA:Waziri wa Elimu nchini Kenya kafunguka ‘Kaburini hakuna masomo’

on

Waziri wa Elimu Kenya Prof. George Magoha amesema haifahamiki ni lini wanafunzi watarudi kuendelea na masomo kwakuwa baadhi ya shule/vyuo vitatumika kuwatengea wagonjwa wa corona>> “hatuwezi kuhatarisha maisha ya Watoto wetu, wakifariki huko kaburini hakuna masomo wala mitihani, hatujui corona inamalizika lini hivyo hatujui tutafungua shule na vyuo lini”

FAIZA ALLY HAJALINYAMAZIA SUALA LA LULU NA MTOTO WA HAMISA MOBETTO

 

Soma na hizi

Tupia Comments