Michezo

Video: Unaweza kuangalia alichofanya Diego Costa jana dhidi ya Swansea hapa

on

article-2754419-2156C7DA00000578-948_636x421

Diego Costa is on fire…….. kwa mara nyingine tena mshambuliaji wa kihispaniola Diego Costa aliendeleza makali yake ya kuzifumania nyavu jana baada ya kufunga hat trick kwenye mchezo dhidi ya Swansea, ambapo Chelsea walishinda 4-2.

Unaweza kuangalia magoli ya Diego Costa na Loic Remy hapa chini

Chelsea vs Swansea 4-2 by mysoulmate121

Tupia Comments