Mix

Hii iko kwenye headlines DUNIANI.. Mtuhumiwa kafanya shambulizi na mauaji Mahakamani

on

enhanced-29207-1428577586-6

Unaweza kuanza kujiuliza huyu jamaa alipataje ujasiri wa kushambulia na kuua ndani ya eneo la Mahakama?

Mwenyewe kasema kwamba alikuwa analipiza kisasi.. akafanya tukio hilo ambalo limechukua uzito wa juu kwenye habari kubwa leo DUNIANI !!

Anaitwa Claudio Giardiello, alifikishwa Mahakamani ya Milan, Italy jana ambapo akiwa katika ghorofa ya tatu ya Jengo la Mahakama hiyo alianza kushambulia kwa bunduki ambayo alikuwa nayo yeye mwenyewe.

Italy Courthouse Shooting

italy-tribunal-shooting

Maafisa wa idara ya Mahakama wamesema mtuhumiwa huyo alikuwa na kesi ambayo ilitakiwa afilisiwe mali zake.

150409123706_italy_shooting_512x288_afp_nocreditMtuhumiwa aliwapiga risasi watu wawili ndani ya Mahakama na pia kumuua Jaji ambaye ilikuwa asikilize kesi yake.. mtu wa nne alifariki kutokana na mshtuko wa moyo kwenye eneo hilo.

3245657687.si

italy_milan_shooting_mil101_49424657

Hata hivyo mtuhumiwa huyo alikamatwa umbali wa kama kilometa 30 toka eneo la Mahakama hiyo ambapo alitoroka akiwa na pikipiki.

150409103234_italy_640x360_epa

Bado kuna maswali mengi.. Kwanza wanajiuliza jinsi ambavyo mtuhumiwa huyo aliweza kuingia na silaha eneo hilo la Mahakama ambalo lina ulinzi mkubwa.

Kingine ni kwamba wanajiuliza imekuwaje jamaa akajiamini na kufanya shambulizi kubwa kiasi hicho kwenye eneo la Mahakama.

9ef58b60-deb0-11e4-a6c1-596a66f983f1_Part-PAR-Par8143026-1-1-0crop

milan-court-shooting

_82205830_7d05fec3-a359-442a-9698-dc9d5989078d

Mahakama ambayo Claudio Giardiello alifanya mauaji hayo  Milan, Italy.

Bonyeza play kuangalia video ya tukio hilo…

millardayo.com ni sehemu yako utakapozipata zote unazozitaka, vichekesho, stori za siasa, muziki, michezo, movies, magazeti, video mpya na nyingine kubwa….  unaweza kujiunga na mimi Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments