AyoTV

VIDEO: Mchezaji kaficha msiba wa mwanae ili acheze fainali | AC Milan sio wavumilivu kama Man United

on

AyoTV Sports leo imekuletea stori zilizochukua headlines katika mitandao ya kijamii kwa wiki nzima, ikiwemo ishu ya mchezaji wa Super Sports United Thamsanqa Gabuza kutokwenda kumzika mwanae kwa sababu ya fainali, Mkude, Kahata, Chama na Gadiel waligoma? vipi AC Milan kukosa uvumilivu? bonyeza PLAY kutazama habari zote kubwa za michezo.

AUDIO: Uamuzi wa Simba SC kuhusu kudaiwa kugoma kwa Mkude, Erasto, Chama na Gadiel

Soma na hizi

Tupia Comments