Mix

Mwanaume kaamua kusambaza ugonjwa kwa makusudi na Polisi nao hawajamuacha !!

on

Man-Arrested-in-Handcuffs1

Nimekutana na stori kutoka Iceland inayomhusu mwanaume mmoja kutoka Nigeria ambaye amekamatwa na polisi kwa madai ya kusambaza ugonjwa wa UKIMWI kwa makusudi.

Mwanaume huyo ambaye jina lake bado halijajulikana ni raia wa Nigeria ambaye amekuwa akijaribu kupata uraia wa sehemu hiyo toka mwaka 2014.

“Sehemu kubwa ya upelelezi tunaoufanya sasa hivi ni kujua kama wanawake wengine wamekutana kimwili na huyu mwanaume zaidi ya ile idadi tulionayo kwenye ripoti zetu…”<<< Hii ndio nukuu ya Ripoti kutoka Polisi Iceland.

>>>“taarifa nyingine za matukio ya kiuhalifu ya mwanaume huyu bado zinakusanywa. Kwa sasa shitaka kubwa dhidi yake ni kujihusisha na vitendo vya kimapenzi kwa nia ya kusambaza ugonjwa wa UKIMWI- kitendo ambacho kikithibitishwa kitakuwa ni kinyume na sheria zetu za nchi”. <<< Polisi.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments