Habari za Mastaa

Hii ndiyo zawadi ya birthday aliyopewa Cristiano Ronaldo kutoka kwa Zlatan Ibrahimovic.

on

349743_heroaCristiano Ronaldo ametimiza miaka 29 na ana kila sababu ya kusherekea maisha yake yenye mafanikio kwenye kazi yake anayofanya ukizingatia ametoka kushinda Ballon D’or.

Sasa basi kama kawaida ya birthday huenda na zawadi za hapa na pale, katika kitu ambacho watu wengi hawakutegemea ni pale Zlatan Ibrahimovic ambaye ni mmoja kati ya wachezaji wa level kama Cristiano alivyomtumia zawadi hii.

jhgfZlatan amemtumia T shirt Cristiano Ronaldo ambayo imeandikwa “Dare to Zlatan” na ameipiga picha kuiweka twitter akimtakia happy birthday na kumwambia kwamba nimekutumia T shirt unayoipenda.

Kwenye hali ya utani Cristiano alimjibu kwamba asante kwa zawadi lakini hii T shirt itanipendeza mimi zaidi yako.

zlaaaa

Tupia Comments