Cristiano Ronaldo ni staa mkubwa kwenye soka, YES… Dunia inamjua, hii ni kumaanisha kwamba hata wasio na ushabiki kwenye soka jina lake wanalijua !!
Mastaa kama Michael Jordan wamestaafu kwenye Michezo lakini majina yao yako juu bado kutokana na kujiingiza pia kwenye biashara kubwakubwa Duniani… Ronaldo anahitaji hata ikitokea leo anaachana na soka, jina lake likumbukwe pia tena kwenye uzito wake !!
Ni dili juu ya dili kwa Cristiano Ronaldo… baada ya kuingia Mikataba mingi ikiwemo ya kutengeneza nguo na viatu vyenye jina lake, safari hii amezindua perfume zenye jina la ‘Legacy‘ na tayari zimesogezwa sokoni kuuzwa.
Hapa nimekuwekea Pichaz na Video, Ronaldo na watu wake wa karibu wakati wa uzinduzi huo…
https://www.youtube.com/watch?v=-XHq2e3fULk
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos