Habari za Mastaa

Rick Ross amerudi kwenye headlines na hii Official Video ‘Crocodile Python’

on

Rick Ross ameisambaza kwako video ya ngoma yake mpya ya ‘Crocodile Python’ ambayo ipo katika album yake mpya ya Black market.

Video yake imeongozwa na Ryan Snyders.

Karibu uitazame hapa..

 

 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments