Mix

PICHA 10: Yametajwa Magari mabaya zaidi kuwahi kutengenezwa duniani

on

millardayo.com inakukaribisha kutazama Magari 10 mabaya zaidi na hayatengenezwi tena popote duniani ambapo moja ya Gari linalo ongoza kwenye List ni gari la kuvutwa na Farasi linalofahamika kama Horsey horseless la mwaka 1899.

Hii ni list ya magari 10 mabaya zaidi kuwahi kutengezwa

1. Horsey horseless – 1899 

Gari hili lilitengenezwa na Uriah Smith.

2. 1911 Overland OctoAuto – 1910

Designer Milton Reeves hakukubaliana na swala la Gari kuwa na maGurudumu manne tu bali hata Magurudu sita au Nane, ambapo Reeves alianza rasmi mchakato wa kutengeneza gari la Overland mwaka 1910.

3. Scripps-Booth Bi-Autogo – 1913

Hili ni gari lililokuwa na Engine ya V8 ambapo mgunduzi wake aliyeleta hii Idea alikuwa ni James Scripps-Booth mwaka 1913

4. Briggs & Stratton Flyer  – 1920

Miaka ya 1920 ndo lilitengenezwa Gari hili aina ya Briggs & Stratton

5. Fuller Dymaxion – 1933

Mgunduzi wa hili gari alifahamika kwa jina la R. Buckminster Fuller ambaye alitengeneza gari lililo fanana na Muundo wa ndege.

6. Peel Trident – 1966

Garilililoundwa na kutengenezwa katika maeneo ya visiwa miaka ya 1960

7. Bond Bug Three-Wheeler – 1970 

8. Renault Dauphine – 1956

Mgunduzi mmoja aliye kuwa anaitwa Renault Dauphine  aliunda gari ambalo awali jina lake lilikuwa linaitwa Corvette.

9. King Midget Model III – 1957

Katika miaka ya 50, Caud Dry na Dale ORCUTT, waliamua kwamba kutengeneza magari ambayo kila mtu anaweza kumudu. Walianza na hili..

10. Zundapp Janus – 1958

Zundapp ilikuwa inajulikana kama pikipiki na ilitengenezwa huko Ujerumani, katika hatua ya mauzo ya chini ya pikipiki,kampuni iliyokuwa inahusika aliamua kujaribu mkono wake katika kutengeneza magari ya aina hii.

VIDEO: Gari lililomundoa kituo cha Polisi Freeman Mbowe leo jioni

VIDEO: Jamaa yuko chakari alafu akahojiwa kuhusu viroba kupigwa marufuku

Soma na hizi

Tupia Comments