Top Stories

IGP Sirro katoa MILIONI 260 ujenzi nyumba mpya za Polisi Arusha

on

Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro, leo September 28, 2017 amefika Arusha, kukagua na kuwapa pole Askari wa Jeshi hilo kufuatia ajali ya moto iliyoteketeza makazi yao waliyokuwa wakiishi hapo jana jioni.

Aidha, IGP Sirro, amekagua eneo lililoathiriwa na ajali ya moto huo ambao uliteketeza nyumba za familia 13 zenye jumla ya watu 44 jana jioni na kutoa salamu za pole kutoka kwa Rais Magufuli ambapo alikabidhi pia Tsh Milioni 260 kwa ajili ya kujenga upya makazi yao.

Waziri Nchemba karudi Jimboni kwake na maamuzi mapya

Soma na hizi

Tupia Comments