Duniani

VIDEO & PICHA: Mtoto wa miaka minne anaendesha Greda kama mtu mzima

on

Ni kawaida kwa Watoto wa kiume kupenda kuendesha magari wakiwa na udogo wao huohuo na ndio maana wengi huwa wanatumia muda wao mwingi kwenye magari ya kuchezea ambayo hununuliwa na Wazazi wao.

Huko Huangguang China kuna Mtoto mwenye umri wa miaka 4 tu ambaye kafanya kweli, anaitwa Chen Junyu ambapo wazazi wake wamempa support ya kutosha kumwezesha kuendesha Greda.

Junyu ni shabiki mkubwa wa Wachimbaji na amekuwa akichezea midoli ya aina ya kijiko muda mwingi akiwa nyumbani, tazama kwenye picha na video hapa chini.

Video yake ndio hii hapa chini

ULIPITWA? Mtazame hapa chini Kijana Mtanzania anaeigilizia sauti za Rais mstaafu Jakaya Kikwete na Rais Magufuli

Soma na hizi

Tupia Comments