AyoTV

VIDEO: ‘Hatuna sababu ya kukataa, sisi tulituma vijana wetu’- CUF

on

Mkurugenzi wa Habari CUF Taifa, Abdul Kambaya amekutana na waandishi wa habari kwa ajili ya kuzungumzia kilichotokea Vinna Hotel katika tukio la kuvamiwa kikao cha chama na kupigwa waandishi wa habari, Abdul Kambaya amesema…….

‘Siku ambapo kikao kinafanyika Vinna Hotel, vijana wetu pia walikuwa kwenye doria, tulipozungumza na vyombo vya habari tulikiri na tunaendelea kukiri hatuna sababu ya kukataa kwamba tulituma vijana wetu na walikwenda kwenye doria’- Abdul Kambaya

VIDEO: Tukio la uvamizi kwenye mkutano wa CUF Dar es Salaam, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments