Top Stories

VIDEO: Tukio la uvamizi kwenye mkutano wa CUF Dar es Salaam

on

April 22 2017 viongozi na baadhi ya wanachama wa chama cha wananchi CUF wilaya ya Kinondoni na baadhi ya waandishi wa habari wamevamiwa na watu wasiojulikana wakiwa na silaa na kuwapiga wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika kwenye ukumbi uliopo Manzese Jijini Dare es salaam.

Bonyeza Play hapa chini kutazama Full video….

VIDEO: Tutofautiane kwa itikadi zetu lakini tuangalie maslai ya wananchi’ –Mbunge Kishoa

Soma na hizi

Tupia Comments