Michezo

VIDEO: Zitakavyotumika pesa za viingilio vya Sport Pesa Super Cup

By

on

Baada ya CEO wa Everton Robert Elstone kuthibitisha kuwa  timu yake ya Evertonitakuja Dar es Salaam July 13 kucheza mchezo wa kirafiki na Bingwa Sport Pesa Super Cup kama sehemu ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu England.

Waandishi wa habari baada ya hapo wakamdaka Mkurugenzi wa Utawala wa Sport PesaAbbas Tarimba ambaye ameweka wazi lengo la kiingilio kitakapatikana katika mashindano ya Sport Pesa Super Cup itakayoanza Jumatatu ya June 5 hawatachukua pesa ya kiingilio.

“Sport Pesa Super Cup baada ya kuondoa gharama za uwanja na timu kuchukua haki zao fedha inayobakia tunaipeleka TFF kwa ajili ya maendeleo ya mpira wa miguu kwa vijana tushafanya maamuzi kama kampuni na tutatekeleza hivyo” >>> Abbas Tarimba

VIDEO: Alichoamua Rais wa Simba baada ya kupokwa point 3 na TFF vs Kagera

Soma na hizi

Tupia Comments