Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: CV ya anayeitwa Kocha wa Makombe Simba SC
Share
Notification Show More
Latest News
Wanywaji Pombe wapewa alama tatu, “mdogomdogo, Wajawazito na Madereva”
March 22, 2023
“Serikali kutenga Fedha kulinda hadhi ya urithi wa Mji mkongwe Zanzibar”- Rais Mwinyi
March 22, 2023
Vurugu zilizotokea Mgodini mirerani, wataalamu wa Dodoma wazama migodini
March 22, 2023
‘Serikali kutumia Matokeo ya tafiti kwa maslahi ya Taifa’- Rais Mwinyi
March 22, 2023
Guterres: Kwenye maadhimisho ya siku ya Maji duniani, “mahitaji yanaongezeka tutunze rasilimali za maji”.
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > CV ya anayeitwa Kocha wa Makombe Simba SC
Sports

CV ya anayeitwa Kocha wa Makombe Simba SC

June 29, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Club ya Simba SC imemtangaza Zoran Maki (59) kuwa Kocha wao Mkuu , Zoran amewahi kuwa Kocha wa Wydad Casablanca ya Morocco, De Agosto ya Angola na CR Belouzidad ya Algeria.

Kama humfahamu vizuri Kocha mpya Simba SC amekuwa na rekodi nzuri lakini imeleta maswali ya kukaa muda mfupi katika club alizofundisha ndani ya miaka mitano iliyopita.

Zoran alifundisha De Agosto ya Angola (2017-2019) na kuifikisha nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2018, Wydad Casablanca ya Morocco 2019-2020, October 2020 akahamia Al Hilal ya Sudan, April 2021 akahamia CR Belouizdad na August 2021 akajiunga na Al Tai ya Saudi Arabia.

Kocha Zoran katika kipindi cha miaka 5 amehama jumla ya vilabu vitano sawa na Simba SC katika kipindi cha miaka mitano imebadili makocha mara 5 (Lechantre, Aussems, Sven, Gomez na Pablo).

You Might Also Like

Simba yaandika historia Ligi ya Mabingwa Afrika

Sheria Ngowi kutengeneza jezi za Zanzibar Heroes kwa miaka mitano

Yanga: Fedha za Rais Samia zinaleta ari kubwa

Gianni Infantino achaguliwa tena kuwa Rais FIFA.

FIFA : Uwanja wa michezo wa Pele mjini Kigali wazinduliwa rasmi.

TAGGED: Soka bongo
Rama Mwelondo TZA June 29, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mwanafunzi amwaga Machozi Mbele ya Rais Samia, Mpoto afikisha ujumbe huu (video+)
Next Article Azam FC yavuta milioni 367 usajili wa Novatus Dismas nchini Ubelgiji
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Wanywaji Pombe wapewa alama tatu, “mdogomdogo, Wajawazito na Madereva”
Top Stories March 22, 2023
“Serikali kutenga Fedha kulinda hadhi ya urithi wa Mji mkongwe Zanzibar”- Rais Mwinyi
Top Stories March 22, 2023
Vurugu zilizotokea Mgodini mirerani, wataalamu wa Dodoma wazama migodini
Top Stories March 22, 2023
‘Serikali kutumia Matokeo ya tafiti kwa maslahi ya Taifa’- Rais Mwinyi
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Wanywaji Pombe wapewa alama tatu, “mdogomdogo, Wajawazito na Madereva”

March 22, 2023
Top Stories

“Serikali kutenga Fedha kulinda hadhi ya urithi wa Mji mkongwe Zanzibar”- Rais Mwinyi

March 22, 2023
Top Stories

Vurugu zilizotokea Mgodini mirerani, wataalamu wa Dodoma wazama migodini

March 22, 2023
Top Stories

Guterres: Kwenye maadhimisho ya siku ya Maji duniani, “mahitaji yanaongezeka tutunze rasilimali za maji”.

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?