Top Stories

Dar es Salaam na mishemishe zake, JANGWANI palikuwa hivi leo (+Pichaz 5)

on

Ukiitaja JANGWANI moja kwa moja akili na mawazo ya watu wengi huenda haraka kwenye maeneo ambayo ndipo yanapopatikana na Makao Makuu ya Klabu kongwe ya Soka Tanzania, Dar es Salaam Young African SC.

Jumamosi ya October 7, 2017 ndio inaelekea ukingoni namna hiyo, sio mbaya ukaona baadhi ya maeneoe ya JANGWANI.

BREAKING: Rais Magufuli kafanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri

Rekodi nyingine ya Mtanzania aliyepata udhamini kusoma Harvard University

Soma na hizi

Tupia Comments