Top Stories

“Hatuogopi mtu, hawa wote tutawachukulia hatua” – Waziri Mpango

on

September 29, 2017 Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Philip Mpango amepokea ripoti ya tathimini ya utendaji kwa mwaka wa Fedha 2016/17 kutoka Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA ambayo imeonesha baadhi ya Taasisi zilivyosababishia hasara Serikali kwa matukio ya rushwa ikiwemo Wizara yake.

EXCLUSIVE! Mbunge NYALANDU aongelea kumsaidia TUNDU LISSU

Soma na hizi

Tupia Comments