Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

MSIBA SHULENI! Mkuu wa Shule aliyejinyonga amezikwa, ndugu wasimulia

on

Wiki hii Kanda ya Ziwa imekuwa na matukio ya majonzi ambapo wakati watu wakiwa bado na majonzi baada ya ajali ya gari kuzama Ziwa Victoria na kuuwa watu 12, kuna hii stori nyingine ya kusikitisha ambapo Mkuu wa Shule ya Sekondari Migukurama iliyopo Hamashauri ya Buchosa, Wilaya ya Sengerema, Mwanza kujinyonga hadi kufa akiwa nyumbani kwake.

WAZIRI MBARAWA: “Mtu akifanya upuuzi muondoeni”

Soma na hizi

Tupia Comments