Top Stories

ZANZIBAR! Kilele Mbio za Mwenge itakuwa katika Uwanja huu (+Picha 17)

on

October 14, 2017 itakuwa siku maalumu kwa ajili ya kukumbuka kifo cha aliyekuwa Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambapo mwaka huu inatimia miaka 18 tangu alipofariki…mbali na hilo, pia itakuwa siku maalumu ya kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru katika sherehe zitakazofanyika katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Mgeni rasmi katika sherehe hizo anatarajia kuwa Rais Magufuli ambaye kabla atashiriki Misa maalumu kumuombea Hayati Baba wa Taifa katika Kanisa la Minara Miwili lililopo katikati ya Mji Mkongwe.

BREAKING: Msemaji mkuu wa Serikali anazungumza na waandishi wa habari

MWANZA: Akamatwa akijifanya mtumishi wa Jiji na kukusanya ushuru

Soma na hizi

Tupia Comments