AyoTV

VIDEO: CWT wazungumza kuhusu kuvuliwa vyeo walimu wakuu 63 Mtwara

on

Baada ya mkuu wa mkoa wa Mtwara, Halima Dendego kuagiza walimu wakuu 63 wa shule za msingi na maafisa elimu wawili kuvuliwa vyeo kutokana na mkoa huo kutofanya vizuri kielimu kwa madai ya kutowajibika vizuri katika nafasi zao.

AyoTV na millardayo.com imempata kaimu katibu mkuu wa chama cha walimu Tanzania Ezekiah Oluoch kutuelezea upande wao kama chama cha walimu wanazungumziaje hatua hiyo iliyochukuliwa na mkuu wa mkoa wa Mtwara.

AyoTVMAGAZETI: Kilichojificha migogoro ya vyama vya upinzani, Serikali sasa yaanza kusambaza chakula, Bonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments