AyoTV

Hiki ndicho alichojibu Davido kuhusu beef yake na Wiz Kid.

on

davidoKwenye internet kulikuwa na tetesi kuhusu Wasanii wa Nigeria Wiz Kid na Davido kuwa na beef ambayo ilichangiwa sana na post za wasanii hawa kwenye social media zikionyesha kama kila mtu anajaribu kumpiga kijembe mwenzake japokuwa hakuna aliyewahi kumtaja mwenzake moja kwa moja.

Davido akiwa kwenye tour zake anazofanya Marekani amekutana na Sahara TV ambao wamemuuliza kuhusu hilo beeef kati yao na kujibu hivi >>>  ‘sio beef, niko nae poa na ni shabiki wake… na nilikua nae kwenye ndege moja wakati nakuja Marekani’

Maneno yake mengine unaweza kuyatazama hapa chini kwenye hii video.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta FB

Tupia Comments