Ad

Top Stories

Tetemeko la Ardhi Mexico lilivyoua wanafamilia Kanisani (+Pichaz)

on

Wanafamilia 11 wameripotiwa kufariki wakiwa kwenye ibada ya ubatizo wa mtoto baada ya paa la kanisa walilokuwepo kuwaangukia kutokana na tetemeko kubwa lililokumba Mexico juzi September 20, 2017.

Waliopona kwenye janga hilo ni baba wa mto aliyekua anabatizwa ambaye alikua ni wa miezi miwili pamoja na wachungaji wawili ambao walikua wakiongoza tukio hilo.

Two-month-old Elideth Torres de Leon, who was to be baptized; her sister, Maria, 8; and the girls' mother, Manuela de Leon Garcia, 27, are among the victims who died inside of the church (above after the quake)

Tragic: Eleven members of a family tragically died during a baby's baptism when the roof of Santiago the Apostle Catholic Church collapsed during the powerful earthquake that shook central Mexico on Tuesday. Their relatives held a wake for them on Wednesday night (above)

The Achdiocese of Puebla said the only survivors were the two-month-old girl's father, the priest and the priest's assistant inside Santiago the Apostle Catholic Church, which is located in the isolated town of Atzala. Above people carry a coffin during the wake Wednesday

He added that at least four minors were among the dead, including the two-month-old baby girl that was being christened inside the colonial-style church. Above people carry a coffin during the wake Wednesday

Ulipitwa na hii? Mkuu wa Mkoa aagiza Dereva azunguke na Ambulance bila Mgonjwa

Hii je? Kitu Waziri Mpina kaagiza kwa wenye viwanda Kinondoni

Soma na hizi

Tupia Comments