Habari za Mastaa

Dimpoz kaitwa tena Polisi

on

Siku chache zilizopita mwimbaji staa wa Bongofleva Ommy Dimpoz alionekana Makao Makuu ya Polisi D’Salaam lakini leo September 16, 2017 kaonekana tena kwa mara nyingine.

Alikiba amefunguka ilipotokea ‘Seduce Me’

Soma na hizi

Tupia Comments