AyoTV

BREAKING: Spika alieleza Bunge hali ya Tundu Lissu

on

Spika wa Bunge Job Ndugai leo ametoa taarifa kwa Bunge kuhusu maendeleo ya afya ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ambaye anatibiwa Nairobi, Kenya baada ya kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana nyumbani kwake Dodoma.

BREAKING: Spika aagiza Zitto na Kubenea wahojiwe, ni kuhusu ishu ya Lissu

Soma na hizi

Tupia Comments