Breaking News

BREAKING: RC Mwanza kamsimamisha kazi Mthamini wa Ardhi wa Jiji

on

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza leo September 13, 2017 ameweka Kambi Wilaya ya Ilemela kwa lengo la kusikiliza changamoto za wananchi wenye matatizo ya migogoro ya ardhi na kukaa mbele ya Watendaji wa Idara ya Ardhi wa Jiji hadi Halmsahuri ya Manispaa ya Ilemela ambapo ilikuwa swali kwa jibu papo hapo.

Baada ya kusikiliza kero na changamoto za ardhi kutoka kwa Wananchi RC Mongella alimsimamisha kazi Mthamini wa Ardhi Daraja la II wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza baada ya kufanya uchunguzi wa mgogoro wa umiliki wa shamba namba 11, Kitalu M Kiseke kwa mlalamikaji Gervas Msukua na mlalamikiwa Victoria Ndalahwa.

RC MWANZA! Kaacha tena ofisi kuwafuata Wananchi, unamweleza changamoto zako

RC Mwanza alivyoacha Ofisi na kukaa nje kuhudumia Wananchi

Soma na hizi

Tupia Comments