Habari za Mastaa

Cynthia Morgan kaileta kwenu ngoma yake mpya ‘Simatiniya’…Video

on

Cynthia Morgan kutokea pande za Nigeria amerudi kwenye headlines za burudani baada ya kuileta video yake mpya ya ‘Simatiniya’ huku ndani ya video hiyo akionekana Burna Boy.

Nakukaribisha kuitazama hapa mtu wangu…

 

 

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa, muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata, pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>YouTUBE

Tupia Comments