Habari za Mastaa

STEVE: “Nilisema hataimba tena kwa ile hali, machozi yalinitoka, anapigania roho yake”

on

Steve Nyerere amezungumza tena baada ya mwimbaji Ommy Dimpoz kuulizwa kuhusu kauli yake iliyokuwa na utata aliyoitoa wakati Ommy Dimpoz alipokuwa kwenye matibabu kwa kudai ‘asingweza kuimba tena’. Sasa AyoTV na millardayo.com zimemfanyia mahojiano Steve na amezungumza haya.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alichozungumza STEVE NYERERE.

EXCLUSSIVE: Ommy Dimpoz Kafunguka kauli ya Steve Nyerere ”SITOIMBA TENA”

Soma na hizi

Tupia Comments