Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Simba SC wapokea Tsh Milioni 100, pongezi za Ubingwa wa Ligi Kuu

on

Club ya Simba SC ambao ndio Mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania bara msimu wa 2018/2019, leo August 2 2019 wamepokea zawadi yao ya Ubingwa kutoka kwa wadhamini wao SportPesa, Simba SC wamepewa zawadi ya Tsh Milioni 100.

ahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein akikabidhi kombe la ubingwa wa Mkurugenzi Mkuu wa SportPesa, Ndugu pavel Slavkov.

Zawadi ya Simba SC ipo kimkataba kati yao na wadhamini wao wakuu SportPesa kuwa watakuwa wanapokea kiasi fulani cha pesa endapo watakuwa wanafanikiwa kufikia mafanikio flani hususani kutwaa mataji mbalimbali.

ahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein akikabidhiwa mfano wa hundi na Mkurugenzi Mkuu wa SportPesa, Ndugu pavel Slavkov.

VIDEO: Kauli ya Kaseja baada ya kuichezea Taifa Stars baada ya miaka 6

Soma na hizi

Tupia Comments